Kadi za kisasa za kidijitali zenye jina la kila mgeni, usambazaji wa papo hapo kupitia WhatsApp & SMS, uthibitisho wa haraka wa QR Code mlangoni, na bahasha za kifahari.
Vifurushi rasmi vya kidijitali vilivyopo kwenye Wasifu wa Kampuni (Company Profile). Chagua kifurushi chako au jaza fomu ya tukio kuanza maandalizi mara moja.
Boresha tukio lako kwa huduma za ziada kutoka kwenye Wasifu wetu wa Kampuni:
Tazama vifurushi vyote, ubora wa kadi zetu za Acrylic & Velvet, umaliziaji wa Wax Seals, na wasifu kamili wa uongozi wa BrightInvite.
From private celebrations to corporate galas, bulk reminders to luxury printed envelopes.
Kadi za kidijitali za sherehe za kifamilia zenye jina la mgeni, ramani, na QR code.
Mialiko rasmi ya makampuni na taasisi yenye usalama na tracking.
Huduma za ziada za SMS, uchapishaji wa bahasha na riboni za kisasa.
Browse real high-resolution invitation card designs ready to be customized.
Ondoa kero na gharama za kadi za karatasi, linda mlango wako dhidi ya wasioalikwa, na wape wageni wako heshima ya hali ya juu.
Kila mgeni anapata QR Code maalum inayothibitishwa mlangoni kwa skana yetu ndani ya sekunde 1 tu. Hakuna kughushi wala kuingia bila mwaliko.
Kadi zenye jina la kila mgeni zinatumwa moja kwa moja kwenye WhatsApp & SMS ya mgeni papo hapo bila gharama za kusafiri.
Fuatilia kwa urahisi nani amepokea kadi, nani atashiriki, na nani ameshaingia ukumbini ili kuweka sawa maandalizi ya chakula na vinywaji.
Mfumo safi usioharibu mazingira, unaookoa zaidi ya asilimia 60 ya gharama ukilinganisha na uchapishaji wa kadi za karatasi.
Jaza taarifa za sherehe yako hapa chini, kisha bofya kutuma kwa Meneja wa BrightInvite moja kwa moja WhatsApp.